Ahaha mbna yupo vzr kjanaTakataka 😂😂💔
JichanganyeMbona mapis wengi tuu
Hii shotAhaha mbna yupo vzr kjana
Waambie jf codntorMwachiluwi pm yangu haifunguki natumia safari browser
AhahHHii shot
Em sema kweliii?Jf wote ni wanaume mademu wa jf ndo hao hao wa mtaani kwenu, sema wa huku wanakua na magari mazuri kazi nzuri mashangazi na hawategemei vipato vya waume zao





Umesha msalimia Ziro IQ?Huu ndo uzi wangu wa kwanza humu, mnikarbishe lkn yote ya yote umri umefika sasa kuwa na ndoa miaka 29 si haba.
Kwaio connection yenu ni muhimu kuhakikisha hili linafanikiwa. Kuanzia kuniungishia pisi humu, na kupush nitakapokwama si mnaelewa kuna michango pia!
Asanteni niko humu.
Mbona hio ipo waziEm sema kweliii?![]()
Ndoa ni zaidi ya mapenzi!well saidNdoa si mapenzi
Na wote tuna masters😂Jf wote ni wanaume mademu wa jf ndo hao hao wa mtaani kwenu, sema wa huku wanakua na magari mazuri kazi nzuri mashangazi na hawategemei vipato vya waume zao