Uzi wa walioumiza watu kimapenzi

Uzi wa walioumiza watu kimapenzi

Nasoro pole sana sijatarajia kukuacha na umenogewa.
Keneth nisamehe sana sikuwa na dhamiria kukuacha kimya kimya
Mumush jamani wangu ulinipenda sana lakini muda sio rafiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee balaa
 
1.Jaman Yohhana mwanajeshi nahisi Karma yako kwangu inafanya kazi

2.Edwin poleee sana

3.Mwanajf fulan pole endelea kuniponda kwenye comment nishakuacha

4.Amossy

5.Kareem

6.Solomon

7.Emaa boy

8.John

9. COUNSELLOR......

10.Angelo..

Duhh nimechoka hakika nimechoka kuwataja
Utawaua sana humu ndani 😢😢😢😢
 
Kwani list bado ndio imeanza?[emoji54]
1.Jaman Yohhana mwanajeshi nahisi Karma yako kwangu inafanya kazi

2.Edwin poleee sana

3.Mwanajf fulan pole endelea kuniponda kwenye comment nishakuacha

4.Amossy

5.Kareem

6.Solomon

7.Emaa boy

8.John

9. COUNSELLOR......

10.Angelo..

Duhh nimechoka hakika nimechoka kuwataja
 
Anavyojidaigi na kipochi chake Huyu ka kina asali vile[emoji23][emoji23]
Kafupisha huyu akiweka list yote anawajua wa JF watakavyomtafuna mzima mzima hasa ME
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom