Uzi wa walioumiza watu kimapenzi

Uzi wa walioumiza watu kimapenzi

Hivi inakuwaje kila mtu ktk story yake ya mapenzi wamewahi kutoka na jina Aisha.
Nakumbuka shule ya msingi ukiambiwa kutunga sentesi majina huwa ni asha, aisha, juma, rebecca, musa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. hapo inamaanisha wametunga sentesi[emoji38][emoji38]
 
Teddy..unisamehe bure tu..I hope ulishapata faraja ya moyo wako.
 
Back
Top Bottom