flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,861
- 6,442
Hahahahha mezeaG nishamjua[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahha mezeaG nishamjua[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuna mwingine hapa namlia timing siku yoyote atauma maamaaaaKinaa anitha maskini
Duh umewaza mbali sanaaa aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]List kama yote...Itakuwa una takoo kubwa sna
Nasoro pole sana sijatarajia kukuacha na umenogewa.Uzi huu ni kwa ajili ya Kutaja majina ya watu uliowahi kuwaumiza kimapenzi..yani Uliwamwaga au ulimmwaga wakati yeye kakolea balaa akwa anakutxt hujibu..piga simu hupokei mpaka wengine hujitishia kujiua!! Ebu comment jina lake tuone..
Me ni aneth na neema hawa naomba wanisamehe tu sikupanga kuwaumiza ila ndo maisha[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
1.Jaman Yohhana mwanajeshi nahisi Karma yako kwangu inafanya kazi
2.Edwin poleee sana
3.Mwanajf fulan pole endelea kuniponda kwenye comment nishakuacha
4.Amossy
5.Kareem
6.Solomon
7.Emaa boy
8.John
9. COUNSELLOR......
10.Angelo..
Duhh nimechoka hakika nimechoka kuwataja
Nimekumbuka kitabu cha Orodha ghafla[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]List kama yote...Itakuwa una takoo kubwa sna
Ila malipo ni hapahapa duniani me pia nakuwinda niwalipie kisasi wanaume wenzangu utajaa2
Nakuona Furaha katika ubora wako...umemsahau padre tuu hapo...lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahha mezea
Nasoro pole sana sijatarajia kukuacha na umenogewa.
Keneth nisamehe sana sikuwa na dhamiria kukuacha kimya kimya
Mumush jamani wangu ulinipenda sana lakini muda sio rafiki.
Yap sema mtoa mada katutengaWewe kuna uzi wa walioumizwa unakuhusu[emoji23][emoji23]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] now I know why you call yourself mdangaji.
Nakuona Furaha katika ubora wako...umemsahau padre tuu hapo...lol