rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,974
Uzi huu ni kwa ajili ya Kutaja majina ya watu uliowahi kuwaumiza kimapenzi..yani Uliwamwaga au ulimmwaga wakati yeye kakolea balaa akwa anakutxt hujibu..piga simu hupokei mpaka wengine hujitishia kujiua!! Ebu comment jina lake tuone..
Me ni aneth na neema hawa naomba wanisamehe tu sikupanga kuwaumiza ila ndo maisha[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Me ni aneth na neema hawa naomba wanisamehe tu sikupanga kuwaumiza ila ndo maisha[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]