Uzi wa vyakula tu


Humu sina kaka mkuu .


Hayo maziwa nimejaribu leo kupiga pafu mbili tatu,,,
Kwa kweli ni mazuri,japo mimi maziwa mtindi yalipita kushoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo boss wangu alikuwa ananambia kuh huu mtindi. Alinambia unaunzwa elfu 18 kigeloni. Sasa ndio namuuliza St. Anne hapo huo bei gani isije kuwa kigeloni kenyewe ndio hiko ka ltr 1 ndio elfu 18.
Hako lita 3 kama sikosei ni 9,000/10,000
 

Acha watu wale mkuu,raha ya mwanamke ale mshahara wako wote
.
Acha kubana matumizi kiasi hicho kama mpare


Yawezekana Mimi sili sana lakini natumia gharama kubwa kwenye mambo mengine
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara upi tena?
Kwani si nilishakwambia kuwa mimi ni fundi niko zangu kitaa napiga kazi!! Then mimi sio mbana matumizi lakini kwa vile hupendi kula utasaidia kubana bajeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…