Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,304
- 21,727
Hayashikiki kwa beiMarhabaaaam bikum!
Duh! Moja elfu ngapi kwasasa, 8-14 au 15-20?Hayashikiki kwa bei
Emir wa uzi hayo ni manini?Duh! Moja elfu ngapi kwasasa, 8-14 au 15-20?
Kuna ya 10, 15 mpk 18Duh! Moja elfu ngapi kwasasa, 8-14 au 15-20?
Madoriani, harufu yake mbaya! Lakini nyama yake tamuu!Emir wa uzi hayo ni manini?
Nasikia mfalme juha alikuwa hazipendi kabisa😀Madoriani, harufu yake mbaya! Lakini nyama yake tamuu!
Hii makitu mtu aone tu, kukiwa na mchicha au samvu naweza tambaa na ndoo nzima ugali,maji nyagi.
Hizi GIF huwa unatengeneza kwa app gani kaka?
👎