Nadhani yanakua sio fresh, au yamekaa sana, ila ya mkoani unayatoa shamba unachoma/kuchemsha unapata ile ladha original, unaweza ukayala kama lunch na maisha yakaendelea
Safiiiii
Hapo nimekuelewaNadhani yanakua sio fresh, au yamekaa sana, ila ya mkoani unayatoa shamba unachoma/kuchemsha unapata ile ladha original, unaweza ukayala kama lunch na maisha yakaendelea
Haya kilaza umejulishwa sasaMimi kilaza nijulie wapi
Ndiyo nimejua sasa, na wewe ni kilaza kwaniHaya kilaza umejulishwa sasa
NdioNdiyo nimejua sasa, na wewe ni kilaza kwani
Bora umenisaidia best, huyu alitaka tu nimjibuKama ulikuwa hujui vile
Bora umenisaidia best, huyu alitaka tu nimjibu
Kwa kuwa unaujua moyo wangu sanaalikuwa na hamu tu ya kuquotiana na mrembo
Nimesema kulingana na nilichokionaKwa kuwa unaujua moyo wangu sana
Kuna watu yeye hata kama ananua jibu, unakuta haamini jibu lake mpaka alihakiki kutoka kwa wengine
Ni wivu tuuu!aahhh wap..yule mbona namjua hajui hata kupika mboga ya majan
Ohhhhh Okey kumbe, haya tupost vyakula, mengi naja PM sahiviKuna watu yeye hata kama ananua jibu, unakuta haamini jibu lake mpaka alihakiki kutoka kwa wengine