CHRISSIE255
JF-Expert Member
- Jan 21, 2020
- 221
- 180
Nakujaaa usimalize choteπππ
πKaribu kipo cha kutosha, Wang Shu ukichelewa utaosha vyomboNakujaaa usimalize choteπππ
Ndo wakichina huu?
Hapana kwa maana sijatumia vile viamba upishi elekeziNdo wakichina huu?
Wacha weeeee The Happiness huu umekosa njegele tu ππππππππ
Hah, nikizipata nitarudia pishiππWacha weeeee The Happiness huu umekosa njegele tu ππππππππ
Daaaaaaaaah mtoto wapi wewe natamani iyo siku tupike wote πππππππππHah, nikizipata nitarudia pishiππ
πββοΈπββοΈπββοΈπDaaaaaaaaah mtoto wapi wewe natamani iyo siku tupike wote πππππππππ
Hope umeupenda eehBila wewe chef, isingewezekana!
Be Blessed
Yeah ni mzuri, hata bila mboga unaweza kula.!Hope umeupenda eeh
Am glad umeupenda, yes una ladha nzuri sanaYeah ni mzuri, hata bila mboga unaweza kula.!
Hahahaha, we mtoto utakua na ngozi nyororo na laini sana
Hahahaha, we mtoto utakua na ngozi nyororo na laini sana
Unakula vinono, vimepangiliwa ,safi sanaahahah kwanin