dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Hata mimi imenivutia kula chakula hichoNimependa hiyo sahan
Kumbe JF kuna marafiki wanaopendana sana!
Eid Mubaraka msomali...kesho tunakula nini?Nile wa muhogo au mtama?
wapo wengii saana, fanya utafute 🤗Kumbe JF kuna marafiki wanaopendana sana!
😋😋
Mimi nina kaka wanne ila sina dada hata mmoja. Sasa hivi natafuta dada angalao wawili wanatoshawapo wengii saana, wafanya utafute
Dada unayemtafuta unataka awe na vigezo gani, kwanza? 😅Mimi nina kaka wanne ila sina dada hata mmoja. Sasa hivi natafuta dada angalao wawili wanatosha
Dotee
Eid Mubaraka msomali...kesho tunakula nini?
Uko vizuri sana 🙂🙂