kitu cha google hiko ndugu.Aisee watu mnajipenda hatari hapo ata usipo nawa mikono sijui na nn corona upati..
Mimi hapo mpaka nimalize kula makwapa yatakua yanauma kwa kuizungusha zungusha mikono
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umeua.Kiafya zaidi.
View attachment 1401809
Siyo haram hii?
Wewe ni mkali sana!Kiafya zaidi.
View attachment 1401809
Kutishana!
Umenikumbusha mbali sana, miaka ya 1990 wakati nakwenda shamba kumtembelea bibi alikuwa ananiandalia ugali wa muhogo kwa kuku
Hakuna kama Bibi!Umenikumbusha mbali sana, miaka ya 1990 wakati nakwenda shamba kumtembelea bibi alikuwa ananiandalia ugali wa muhogo kwa kuku
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
Mzee wa chura huu msosi ndio wenyewe
Haramu
View attachment 1404812
imagine unaenda hotel kubwa kwa wenzetu unakuta mihogo imepamba hivi na unalipwa kwa dollars kadhaa wakati huku inapatkana kila mtaa.
mno yaani naipenda mno muda wowote sichagui na kipilipili vlani hivi.Inavutia kuliwa
Jr
Hii mihogo ni 5 star by just looking on itView attachment 1404812
imagine unaenda hotel kubwa kwa wenzetu unakuta mihogo imepamba hivi na unalipwa kwa dollars kadhaa wakati huku inapatkana kila mtaa.