Ni wivu tuu!Ya broiler?
Jr
Muda huo umerudi nyumbani kutoka kazini kwenye saa 4 hivi ile unaingia ndani wife anakuzingua, unaamua kutoka kuelekea kwa mchepuko unakuta amekuandalia chai!mambo ya wapi haya?View attachment 1380003
Muda huo umerudi nyumbani kutoka kazini kwenye saa 4 hivi ile unaingia ndani wife anakuzingua, unaamua kutoka kuelekea kwa mchepuko unakuta amekuandalia chai!idumu michepuko!
ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
Kitu gani? Kupika?umeanza tena
Mambo ya kuku tu .Kitu gani? Kupika?
Aah wapi! Chief umeandika kwa vile ni mawazo na yametoka kichwani kwako lakini moyoni unayapenda!ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿme no.. I don't
Jr
apo inakua kitu cha mduara tena.. hatari collabo lake.Kasoro mbili tu zitimie mboga saba
Jr
ulikuwa mwenyewe hapa mkuu??