Mkwe hicho kimepikwa na yule Mwanamke wa Kidigo! Mchoyo kweliMkwe me icho hakintoshi si unajua situation
Naona inaitafuta "COVID19"
Sio kweli chief, kwa hii nakukatalia, ningeanza kutoka mimi ndizi za nazi nazipenda kinoma, na samaki wiki moja mara mbili tu huwa sipiki samaki.Hii kwa mwanaume ukila kama week mfululizo lazima utokee tako....watchout guys
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wivu tu...Mkwe hicho kimepikwa na yule Mwanamke wa Kidigo! Mchoyo kweli
😄 😄 😄 nani kasema?Hii kwa mwanaume ukila kama week mfululizo lazima utokee tako....watchout guys
Sent using Jamii Forums mobile app
ila wewe🙁
Dada hawataki nile kuku!ila wewe🙁
tatzo mchoyoDada hawataki nile kuku!
Halafu haya ni yale mambo yako sasa!
inaonekana nzuri sana hii, huwa inaandaliwaje?