Nilikuwa naingia tu kwa kuviziavizia my crushShwari, sijakuona jukwaani kitambo my crush
Hongera aisee,at least umejitahidHahahhahaha
Mzee huo ugali ulisonga mwenyewe au uliagiza kwq mama ntilie..
Anhaa, bas urudi tena jamn umemisikaNilikuwa naingia tu kwa kuviziavizia my crush..
Sawa usijali..Anhaa, bas urudi tena jamn umemisika
😂😂😂,ilikuwa ni video mdogo wangu kanitumia nikasema kwanini nile kwa macho mwenyewe
ahahaha...,Na kitafunio pembeni... Legends wamenielewa
Itakua ni matumizi mabaya ya resourceshalafu ukaishie kamoja tuu
Mambo mazuriiii kabisaaa!!!Mchana mwema!View attachment 1168282
What the hell is this??..