Konyagi na nyama chomaRafiki walevi huwa wana majiko ya kuchoma nyama home!
Sina ubaya mama mkwe nahitaji misosi tu ata akinitumia misosi
Sina ubaya mama mkwe nahitaji misosi tu ata akinitumia misosi
Mwaliko umepata kabisa, karibu sana, ntakutumia locationnaomba mwaliko weekend hii
Mwaliko umepata kabisa, karibu sana, ntakutumia location
Pls mama mkwe farkhina skip this post
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ndo maneno sasaa
Ahahahahahah,mama mkwe wako kashanichimba beat nimeghairi
Hayo ndo maneno sasaa
Nipe mkono(marehem babu yangu alikuwa ukimfurahisha jambo anakwambia nipe mkono) hapo ujue kafurahi sana
Sent using Jamii Forums mobile app