Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,534
- 81,267
Yeah.. My dream is to become a veg, tatizo minofu inatamanisha asee inahitaji moyo, tena hasa ukiwa unatokea familia ya wala nyama daily ukizisikia huko jikoni tayari udenda kibao
Kitu cha prones.. Nom sana hizo na nguna..
Nakuja kesho asubuhiWapendwa karibuni chai
IN SHAA ALLAHNakuja kesho asubuhi
Hapa ningeongezea mlenda na ugali, na nina njaa hapa.
Hapa ningeongezea mlenda na ugali, na nina njaa hapa.
Sawaa na Shemeji awepo
Hali ya hewa inaruhusu.
Sawaa na Shemeji awepo
Ndo vile Missyrose,utanoga sana huo msosi!!Ahahah..
Chapati lini tena?Ahahah..
Mhhh!! Upo vizuriWapendwa Alibakari leo hayuko poa, Malaria inasumbua na anaendelea na dozi. Hata hivyo ilikuwa chai ya leo hii