dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Sawa!My dear friends in this thread....
Napenda kuwafahamisha kuwa nimebadili jina from Beingsingle to Zuriel_cfc kutokana na sababu mbali mbali. So nawasihi msinione mgeni hapa, mie ni yuleyule.
Haya mu enjoy lunch zenu mie bado nasubiri kengele ipigwe
Love u all
Umeona eeeh kaka..hakuna sekta nzuri Kama ya kulaMzuri kweli kabisa
Kula muhimu sana, ila tumbo nalo halina shukraniUmeona eeeh kaka..hakuna sekta nzuri Kama ya kula
Sana,mwili pia sometimes Hauna shukrani..kula vzr kote lkn npo km miss tzKula muhimu sana, ila tumbo nalo halina shukrani
Sana,mwili pia sometimes Hauna shukrani..kula vzr kote lkn npo km miss tz
Mwili Hauna uwiano na chakulaHahah! Pole sasa unataka uwe mnene,
Me naona hivo hivo ndio unapendeza
Subiri utakuja tu mwiliMwili Hauna uwiano na chakula
Labda miaka ya mbeleniSubiri utakuja tu mwili
Sasa mbona umeguna jiraniHmm!Sawa!
Jirani nilichanganya uzi, nilikua naguna MmuSasa mbona umeguna jirani
Mama mkwe naomba bintio umfundishe kupika kama wewe.Hahahahaha sawa mkwe wangu.
Okay dear..tupo pamojaMy dear friends in this thread....
Napenda kuwafahamisha kuwa nimebadili jina from Beingsingle to Zuriel_cfc kutokana na sababu mbali mbali. So nawasihi msinione mgeni hapa, mie ni yuleyule.
Haya mu enjoy lunch zenu mie bado nasubiri kengele ipigwe
Love u all
Mi nilijua sema nilikupotezeaMy dear friends in this thread....
Napenda kuwafahamisha kuwa nimebadili jina from Beingsingle to Zuriel_cfc kutokana na sababu mbali mbali. So nawasihi msinione mgeni hapa, mie ni yuleyule.
Haya mu enjoy lunch zenu mie bado nasubiri kengele ipigwe
Love u all
Orange cake..tamuuuView attachment 971564
Hahahahahaaa apia!?Mi nilijua sema nilikupotezea