Usiogope sio matunda kwa chini.., Ni kioo Cha table zetu za kichina hizo
Home madeView attachment 916846
Hehehee unapenda kwio eehNaiona nyama yangu pendwa hapo
Mimi samaki tu na kachumbari vingine utamalizia mwenyeweUsiogope sio matunda kwa chini.., Ni kioo Cha table zetu za kichina hizo
Home madeView attachment 916846
Siku nyingine ufanye kuniita nikusaidie kula
Na mm mnifundishe mapishi niwe nakula kama nyie..mnanitesa mtoto wa mwanamke mwenzenuSiku nyingine ufanye kuniita nikusaidie kula
DuuNyumban kumenogaView attachment 917374
Hahaa sawa mkuu karibu tujifunzeNa mm mnifundishe mapishi niwe nakula kama nyie..mnanitesa mtoto wa mwanamke mwenzenu
Hahaa sawa mkuu karibu tujifunzeNa mm mnifundishe mapishi niwe nakula kama nyie..mnanitesa mtoto wa mwanamke mwenzenu
Hazijalala zimekauka we JoseChips na mchicha? Aisee
Halafu zinaonekana zimelala hizi
Mhhh alaaah!Hazijalala zimekauka we Jose
Beans mnatoHapo ningeacha mchuzi tu.
Hivyo vingine vingenikoma.
Alafu maharage yanaonekana sio ya mchezo mchezo.
Hahahahminyoo yangu tumboni inarukaruka
Haahhahahaaaaaa. Na mboga yetu ya kiserikaliiiii nayo beans mkuuMimi samaki tu na kachumbari vingine utamalizia mwenyewe