Uzi wa vyakula tu

Tena umenikumbusha...vile viazi vitamu vya orange ni vitamu sanaaaa
 
Hivi Chief kwa kiswahili tunamuitaje...!!?

Kuna raha ya kuuliza usiseme nigugo tafadhali....

Sasa huyu chefu hana nia nzuri na afya yangu, ona anavyonilisha.....



Ham sandiwichi na mazaga yake...



Mazaga by the side was potato salad and fried pickle πŸ˜‹.
 


Buleki fastii was sausage link and harsh browns πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Accompanied by oatmeal πŸ˜‹.



Mwana mbuzi meemeee....

Majani mabichi nayo ni mlo, yakasindikizwa na thupu ya tambi na kuku.... wasn't bad...



Finitooo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…