Duu dunian kuna misos jamanKaribuni Mishikaki ya Nyoka.
Tasavali tuambie ni kiwanja gani hiki.... Seriously am not joking
Haya maandaz dah
Ahahaha, kwa afya tu sio kukomoana
Mshana sisi wengine kwetu bara huku hivi hatuvijui na maelezo kidogo ndo itakuwa vizuri!
RubiiKimimi
Mambo ya kutoana udenda haya
Hatarious kabisaMambo ya kutoana udenda haya, mchemsho tena dah, awe kuku wa kienyeji sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kutoana udenda haya, mchemsho tena dah, awe kuku wa kienyeji sasa
Sent using Jamii Forums mobile app