Uzi wa vyakula tu

Naomba recipe yako unayotumia kupika 1/2 kg na ya 1kg
Najaribu recipes mbalimbali.
Margarine 1/2kg
Unga 1/2kg
Mayai 8-10 inategemea na ukubwa wa mayai
Sukari 1/2kg ila napunguza kama kijiko kimoja
Baking powder 2 vijiko vya chai
Maziwa kidogo (kama vijiko 1-3) ya supu kuifanya keki isiwe kavu
Vanilla kijiko 1 cha chai(kidogo).

Kwa kilo moja nafanya x2 yake, na wakati wa kuweka unga uwa siupigi sana kama mwanzo
 
Oh thank you

Will try
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…