Mwanamke na mapishi ni samaki na maji
Ila huu Uzi nimeamini watu wasemayo kwamba wanaume wanajipenda na ni wachoyo sana kwenye kula, yaani Uzi umejaa wanaume tu wakipost vyakula vizuri na wengi sana wakionekana wako vinakouzwa hivo vyakula na sio nyumbani kwa wife.. Hapo unakuta wife anashindia ugali na matembere mwanaume nje anapiga mbuzi choma nusu na mazagazaga kibaowanaume Mungu anawazoom..
Njoo tu. Muhimu uage unakuja ChamakwezaSijui nije..
Acha uhuni wewe!!
Yaani hiyo "mayonaiz" huko mjini wanaipenda kweli kweli.Naacha mkuu
Yaani hiyo "mayonaiz" huko mjini wanaipenda kweli kweli.
Vijana wa dar hao mkuuYaani hiyo "mayonaiz" huko mjini wanaipenda kweli kweli.
Hatari SheikhVijana wa dar hao mkuuwengine kweli hadi ile yenyewe
VyediChamdekoooo uuwiii View attachment 717554
JamanChamdekoooo uuwiii View attachment 717554
Shushia na hiiChamdekoooo uuwiii View attachment 717554