Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,534
- 81,267
Jana usiku hukula sio mzee? Umeona uamke nacho mapema tu.
Nilisahau kupost.
Kuna mkate unafanania na huo unaitwa 'sweet bread.
Yan style yako ya ku'reply comments inafurahisha 🤣Ugonjwa wangu huu.
Nini unanilamba 🤣🤣🤣
Pilau lenyewe lilipoiva likasahaulika kapicha 😁uwii
Wakati mwingine usisahau kupiga mambo mazuri hayo.Pilau lenyewe lilipoiva likasahaulika kapicha