Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,563
- 188,760
Habari.
Kuna series ambazo ni ngumu kuzielewa unaweza kumaliza hadi season moja hata zaidi ila uelewi kabisa nini kinachozungumzwa/ lengo la season/movie husika.
Hivyo basi kupitia huu uzi tutaweka majina ya Series/Movie husika ili wengine kama watapenda kuzitafuta basi itakuwa ni kwa mapenzi yao binafsi.
Mimi kuna hii Tv show/ Series production ni HBO kama kawaida wataalamu wa hizi kazi japo nilijitahidi kuangalia hadi season 2 kidogo ya Series hii ila bado niliona kama sijapata picha halisi ya director. Ila na mpango wa kutaka kuanza tena kuangalia hii Series.
1. WESTWORLD
Karibuni kwa movie/ series zaidi ambazo ni ngumu kueleweka.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc. Kichwa Kichafu.