JF raha bhana.Kuna kipindi unakutana na majibu ya kiduanzi,nyodo,makuzi,ucheshi n.k ambayo hutokutana nayo sehemu yeyote ile.Kama ulikua umenuna inabidi ufumue kicheko tuuu.Ukiyaona hebu "tuskinishotie" na sisi tuyasome.
Mi naanza na haya
View attachment 1034896View attachment 1034898View attachment 1034899
Kwani "Kuona" nalo ni jina ?


♂️