Daah baby una nini lakini?Kwa mujibu wa lugha adhimu ya kabila la waha maana ye neno "Musundi" ni MKUND*U
Baby nimetafsri jina la mtoa mada
Rangi ya ngozi kama ni natural sio issue. Ila ulaini wa ngozi kwa mwanaume unakera jamani.......
Sent using Jamii Forums mobile app
kuoga...kuna wanaume hawaogi usk ..anadai akioga usingiz unakata..au hujanielewa
Hapo sawa mwanzo sikukuelewa lakini mbona ukioga ndio usingizi unakuja poa mm nisipo oga siwezi lalakuoga...kuna wanaume hawaogi usk ..anadai akioga usingiz unakata..au hujanielewa
Hapo sawa mwanzo sikukuelewa lakini mbona ukioga ndio usingizi unakuja poa mm nisipo oga siwezi lala
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo idea ya kukamilishana inapokamilika. Mke ngozi laini mme ngozi ngumu/roughupo kama mm...mwanaume mwenye ngozi rough ananivutia jaman ..khaa
ndo kero yangu mm hyo
miaHapo ndipo idea ya kukamilishana inapokamilika. Mke ngozi laini mme ngozi ngumu/rough
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mwanzo nlijua ni mm mwenyew ndo nmeelewa ivo, ila kwa vile kiswahili ni kibantu nkasema isiwe kesiKwa mujibu wa lugha adhimu ya kabila la waha maana ye neno "Musundi" ni MKUND*U
Babe..
Kwani alikuomba umtafsirieBaby nimetafsri jina la mtoa mada
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nisamehe baby wangu nimekosea
Nilikuja tabia zako ambazo sizipendiBabe..
Hivi ulipita huku kutafuta nini..!!??
Sawa baby nimekusameheNisamehe baby wangu nimekosea
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk