Uzi wa kumpongeza Mbabe Bashar Assad

Hivi nchi ikiwa na vita za namna hiyo mpaka miaka 9,kuna wanaosoma kweli mashuleni,biashara,maendeleo ya nchi au mtu mmoja mmoja yanakuwaje,na je baada ya vita itachukua muda gani tena kuirudisha nchi pale ilipokuwa?Tuombee amani tulionayo iendelee kudumu maana tukishaipoteza ni ngumu kuirudisha...
 

Hii vita wala haikua nchi nzima haikuzidi miji hata mitatu sehemu zingine maisha yalikua yakiendelea kama kawaida ... Vyombo vya magharibi walikua wanaonyesha wanachotaka tuone tu
 
Wa kulaumiwa unahisi nani,kwann taifa lingine lifadhili vita, kuingilia masuala ya ndani na kuchochea chuki na mpasuko kwenye taifa lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…