Uzi wa kumpongeza Mbabe Bashar Assad

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Mataifa ya USA na Israel walikuwa wanafurahi ISIS ilivyokuwa imeteka eneo kubwa la Syria walitamani ASSAD adondoke

Ni miaka 9 sasa Mbabe Assad yupo na ameishinda ISIS vibaraka wa USA na Mossad.

Lkn bado USA na Israel wanaendelea kuidhoofisha Syria lkn Mbabe huyu ataendelea kushinda vikwazo vyote hivyo.

Heshima kwa Assad karuka viunzi vingi na bado anaendelea kuruka viunzi vya Mabeberu

#Mabeberu sio watu wazuri,mshindi dhidi ya mabeberu.

 
Huyu si nasikia ameshikwa mkono na Urusi, ndiyo maana bado yupo!
anayestahili pongezi ni Puttin Urusi.
 
huyo tayari keshamalizwa target kwa sasa ni iran tu na njia kuu ya kumuingilia ndio hiyo syiria unapopaona Assad kashinda
 
Naipongeza USA na ISRAEL kwa kujidhihirisha wao ni wanawake tu na wataendelea kuwa wanawake mbele ya waume zao IRAN na RUSSIA.
Watu wameona hamna manufaa nye mnadhani wameshindwa
 
Juzi kafanya uchaguzi wa wabunge kabisaa ili kuhalalisha utawala wake. Simba anatisha
 
Duniani kuna mengi sana; yaani Asad mshindi wakati nchi imebaki magofu na wananchi walipa kodi walishakimbia nchi?
Sasa ushindi huko wapi wakati maadui wake wao ata kijiko hakijavunjika achilia mbali wananchi wake kuishi maisha ya starehe kabisa?

Hii akili ya kumsifia akiemaliza na kuangamiza nchi yake kwa kiburi utaikuta Tanzania pekee lakini uwezi kuisikia kwa watu wa Syria.
 
Malengo yao hayajatimia mkuu that means wameshindwa.
 
Malengo yao hayajatimia mkuu that means wameshindwa.
Wameshindwa wapi wakati nchi wameiacha mgofu na bila raia walio wengi wameyakimbia nchi yao? huo sio ushindi? mfumo wa elimu na uzalishaji mali umekufa kabisa hapo bado hawajashinda?

Sasa unaposema Mh Rais Asad ameshinda ameshinda kwasababu yupo ofisini au? huo ushindi wananchi wa Syria ukiwaambia watabaki wanakushangaa na kukwambia unawadhiaki make wamepoteza mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…