Uzi Wa Kumpa Wervemarcel Pongezi.

Uzi Wa Kumpa Wervemarcel Pongezi.

INRI

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
1,354
Reaction score
2,405
habari wakuu !
nimekuwa mdau mzuri wa jukwaa la elimu mara baada ya kutoka kwa
matokeo ya vyuo vikuu.
katika pita pita zangu nimemuona
wervemarcel akijaribu kutupa updates za admissions japo sikuwepo tangu mwanzo ila nimesoma post zake kwa umakini
uliokubuhu nikang'amua kwamba
amejizatiti sana kuwaleta watu karibu,pamoja na kuwasaidia wengi humu.
alifunga roho mpaka kuleta links za whatsapp kinyume na sheria za Jamiiforums.
hivyo naungana na wengine kumpa
pongezi japo yupo kifungoni.
viva wervemarcel.
get well soon from ban.

kama umeguswa usiache kutupia neno hapa.
karibuni.
 
Mkuu ndo wewe nini umeamua kujitangaza upewe hongera?
 
Mkuu ndo wewe nini umeamua kujitangaza upewe hongera?
una uhuru wakuongea chochote
ila usivunje sheria.
kama unavithibitisho kwa hoja yako
sikukati mikono kuvileta humu.
ahsante.
 
hongera.
usije kuwa wew ndo mwenyew ume open id mpyaaa baada ya ban...........
 
Hongera mdau.... Umetuleta pamoja wengi na kutusaidia, na bado wengine wanaendelea kusaidika.
 
hongera.
usije kuwa wew ndo mwenyew ume open id mpyaaa baada ya ban...........
hapana.
ni kweli wengi wanahisia kama wewe ni kuondoe shaka mimi siye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom