- Thread starter
- #61
Pole sanaSimu yangu haina live call sijui ilipo jificha
Hilo kava baada ya muda utakuta inauzwa elfu 2 .Hii biashara nzuri, ila hizi mbaga zinapitwa na wakati..... na wanatoa daily, sampuli tofauti.....
Omba mzigo usikudodee store unajuta !!!!
Kila biashara ipo hivyo ,labda dhahabu tuHilo kava baada ya muda utakuta inauzwa elfu 2 .