Uzi wa dondoo!.

Wanawake wameumbwa kwa mambo mawili tu nayo ni;

1) Kututuliza tunapochanganyikiwa na
2) Kutuchanganya tunapotulia.....🀣🀣


Huyo rafiki yako anaekusindikiza kwa baby wako mara kwa mara ipo siku ataenda mwenyewe.....😊😊

Oga, vaa vizuri unukie madeni yapo tu....😁😁

Ulisema ukiwa mkubwa utasaidia masikini na wenye mahitaji. Haya, jisaidie sasa....πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Raha ya mke mfupi hata akiangusha simu haivunjiki...πŸ˜€


Setfree usimruhusu mumeo aombe kimyakimya kwa sauti ndogo maana hachelewi kuomba mke wa pili huyo mpuuzi 😊😊


Ni siku mpya ukiamua unune au utabasam sura ni yako hatukupangii...😊😊

Nilale sasa angalau mbu nao wapate chochote kitu ☹️...
 
Hizi ni dondoo za dunduu.. 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…