Ndo nimetoka Jana kutop up mzee baba muda si muda kibuda kitasoma January ninunue mifugo kama kawaida yangu M3 sawa na mbuzi 60, kati ya hao madume yatakuwa mengiSisi tuliojenga ninmwendo was ku top up tu mkuu!!
Wenye mishahara iliyotimia ni madams TU!
Sisi tunatop up tunajenga top up nyumba za biashara mwendo mdundo mkuu!!
Hiyo savings ni mateso sana!!labda Kwa madams lakini sisi men ni ku risk tuuuuu!!!
Hesabu za abunuwasi hizi,yaani ulivyo calculate mdomoni unaweza kusema kweli Hela hii nenda field Sasa 😂Ndo nimetoka Jana kutop up mzee baba muda si muda kibuda kitasoma January ninunue mifugo kama kawaida yangu M3 sawa na mbuzi 60, kati ya hao madume yatakuwa mengi
Kila mbuzi1 Tsh50,000/=
Baada ya mwaka atakuwa amezaa Watoto 2 au mmoja Kwa wastani.
Nauza woote wakubwa na Baki na hao Watoto. sikoswi Watoto 30+
Nikishauza na nunua mbuzi70 size Moja na mbuzi waliopo jumla watakua 100+
Baada ya miezi7-8 watazaa tenaa nauza wakubwa tu hapo sikoswi m15. Ndani ya miaka3 Tena bila stress.
Acha namm nichukue huu ushauri hapaBinafs Huwa najibana sana hasa starehe Kwa umri wangu ndio muda wa wenyew lakini alhamdulillah vimenipita
Nachofanya karibia nusu ya mshahara ni savings ambazo Huwa natumia miez 5 had 6 kukusanya then nafanya ninachohitaji Kila muda ukifika
Inatak roho ngumu na ukatili Lakini muhimu kwangu ni chakula mavazi na malazi
Ukitaka kufika
1.acha kujilinganisha na watu wewe sio wao
2.ujana hauna maana kama utfaka utu uzima hujawekeza chochote
Mkuu njoo inbox nikuonyeshe Kwa video wengine hatujui hata calculation Zenu ni vitendo tu Njoo kama unataka ku prove njoo uone inboxHesabu za abunuwasi hizi,yaani ulivyo calculate mdomoni unaweza kusema kweli Hela hii nenda field Sasa
Hao mbuzi wanakula upepo? Vipi gharama za kijana/vijana wa kuwahudumia?Ndo nimetoka Jana kutop up mzee baba muda si muda kibuda kitasoma January ninunue mifugo kama kawaida yangu M3 sawa na mbuzi 60, kati ya hao madume yatakuwa mengi
Kila mbuzi1 Tsh50,000/=
Baada ya mwaka atakuwa amezaa Watoto 2 au mmoja Kwa wastani.
Nauza woote wakubwa na Baki na hao Watoto. sikoswi Watoto 30+
Nikishauza na nunua mbuzi70 size Moja na mbuzi waliopo jumla watakua 100+
Baada ya miezi7-8 watazaa tenaa nauza wakubwa tu hapo sikoswi m15. Ndani ya miaka3 Tena bila stress.
Nina miaka 4 nafanya ufugaji mkuu mwanzo changamoto ilikuwa fisi. Nikawazibiti Kwa kujenga Banda Bora na salamaHao mbuzi wanakula upepo? Vipi gharama za kijana/vijana wa kuwahudumia?
Hapo sijazungumzia faini na ugomvi na majirani wanaolima, manake mbuzi walivyo wakorofi hawachelewi kuvuna shamba la mtu.
Umetop up mpaka sacos na haufi wala nin, slip mapengo matupu na wazee wanadundaSisi tuliojenga ninmwendo was ku top up tu mkuu!!
Wenye mishahara iliyotimia ni madams TU!
Sisi tunatop up tunajenga top up nyumba za biashara mwendo mdundo mkuu!!
Hiyo savings ni mateso sana!!labda Kwa madams lakini sisi men ni ku risk tuuuuu!!!
Iko vizuri, vipi kuhusu magonjwa? Hawaumwi?Nina miaka 4 nafanya ufugaji mkuu mwanzo changamoto ilikuwa fisi. Nikawazibiti Kwa kujenga Banda Bora na salama
Kijana wa kazi Kwa mwaka250k madawa chakula Wana chunga kienyeji wapo Kijijin na tumepakana na mstu mkubwa sana masika kama hii wanafunguliwa sa9 tu wanakula masaa2 wameshashiba vibaya mnoo mstu umenawili hatariii!
Nunua ng'ombe ndama walau wa laki 3 baada ya miakq mitatu unauza laki 8 faida kilo 5,wanaokushangaa hawajui tu,kama upo location nzuri eneo la malisho lipo ufugaji wa malengo unatoa sanaNdo nimetoka Jana kutop up mzee baba muda si muda kibuda kitasoma January ninunue mifugo kama kawaida yangu M3 sawa na mbuzi 60, kati ya hao madume yatakuwa mengi
Kila mbuzi1 Tsh50,000/=
Baada ya mwaka atakuwa amezaa Watoto 2 au mmoja Kwa wastani.
Nauza woote wakubwa na Baki na hao Watoto. sikoswi Watoto 3
0+Nina miaka 4 nafanya ufugaji mkuu mwanzo changamoto ilikuwa fisi. Nikawazibiti Kwa kujenga Banda Bora na salama
Kijana wa kazi Kwa mwaka250k madawa chakula Wana chunga kienyeji wapo Kijijin na tumepakana na mstu mkubwa sana masika kama hii wanafunguliwa sa9 tu wanakula masaa2 wameshashiba vibaya mnoo mstu umenawili hatariii!
Nikishauza na nunua mbuzi70 size Moja na mbuzi waliopo jumla watakua 100+
Baada ya miezi7-8 watazaa tenaa nauza wakubwa tu hapo sikoswi m15. Ndani ya miaka3 Tena bila stress.
Ng'ombe wapo 4 ila hawanilipi kama mbuzi mkuuNunua ng'ombe ndama walau wa laki 3 baada ya miakq mitatu unauza laki 8 faida kilo 5,wanaokushangaa hawajui tu,kama upo location nzuri eneo la malisho lipo ufugaji wa malengo unatoa sana
Wanaumwa lkn Kwa kiwango kidogo sana na hii imenifanya hatanisiweke kumbukumbuka za madawa madawa yanayotumika sana ni ya minyoo na kuogesha (kupe, utitiri,viroboto)Iko vizuri, vipi kuhusu magonjwa? Hawaumwi?
Natamani kufanya hiyo mishe.....Ila huwa naogopa na hii jinsia yangu sitaweza rabsha zake.
Bahati mbaya mume wangu hayupo interested na ufugaji..... proposal yangu kaiweka kapuni.
Wewe jamaa kwa unyonyaji huo ni hatari. Yani unamlipa mfanyakazi wako katika uwekezaji wako wa millions, elfu 20 kwa mwezi?Nina miaka 4 nafanya ufugaji mkuu mwanzo changamoto ilikuwa fisi. Nikawazibiti Kwa kujenga Banda Bora na salama
Kijana wa kazi Kwa mwaka250k madawa chakula Wana chunga kienyeji wapo Kijijin na tumepakana na mstu mkubwa sana masika kama hii wanafunguliwa sa9 tu wanakula masaa2 wameshashiba vibaya mnoo mstu umenawili hatariii!
Makubaliano mkuu. Tena yeye anafaidi sana kwangu. Maana hatoi jasho!Wewe jamaa kwa unyonyaji huo ni hatari. Yani unamlipa mfanyakazi wako katika uwekezaji wako wa millions, elfu 20 kwa mwezi?
Kama Kawa halafu ukiniona nilivyo handsome huwezi dhani kama salary slip in ndefu kama gazeti!Umetop up mpaka sacos na haufi wala nin, slip mapengo matupu na wazee wanadunda
Nimecheka hatari utumishi ni pasua kichwa! Inahitaji akili ya ziadaKama Kawa halafu ukiniona nilivyo handsome huwezi dhani kama salary slip in ndefu kama gazeti!