Bwana Fulani
JF-Expert Member
- Mar 25, 2019
- 656
- 3,386
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]Huu ni ukeketaji bila ganzi, khaaa...
Wenzako wakisema wanaitafuna hawamaanishagi hivo, unataka mwenzio akafungwe P.O.P. .....
Unaniruhusu kuzitumia hizi picha mkuu, au mpaka nilipie ???Kwa wale wote wanaopenda na wenye hobi ya kupiga picha vitu ama watu.. Njooni tuoneshane ujuzi na ubunifu wa picha kama vile
Portrait
Low key
High key
Silhouette
Landscape
Close ups
Moving objects
Distant objects
Panorama
N.k
Karibuni View attachment 1193411View attachment 1193412View attachment 1193413View attachment 1193415View attachment 1193417View attachment 1193422View attachment 1193423View attachment 1193426View attachment 1193429View attachment 1193431View attachment 1193433View attachment 1193434
Kiuungwana ni makosa kuchukua kazi ya mtu mwingine na kuitumia bila ruhusa yangu.Mbona huna haja haja ya kutuma maombi mkuu
Picha ya mwisho ni Arusha sehem gani?
Yakwanza ni pale soweto?Picha ya mwisho ni Lushoto mkuu
Yakwanza ni pale soweto?
Many stories in 1 pictureView attachment 1201981