Uzi maalumu wa wanaorejeshwa mamlakani na utawala wa awamu ya sita

Ukiamini hivyo ni rahisi sana kumchukia Samia kwa vitu ambavyo huwezi kuviweka hadharani kwa asilimia mia moja.
Hata kama huna akili kiasi gani lkn katika teuzi hizi lzm uwe na kitu cha kujiuliza. Angekua mmoja tunasema kawaida tu huwez rithi maadui,wa pili, tatu hadi system nzima inajaa waliompinga Magufuli hushtuki tu kuna nn?Hakuna teuzi utasema alikua swahiba wa Magufuli. Kila teuzi utaona nyuma hakukua sawa na Magufuli. Na ndio maana watu wanaamini kuna team inaondolewa na team flani inarudishwa na hizi team zote ni hasimu. Ingekua ni mmoja au wawili tungesema sawa Magufuli huenda alikua na shida nao na hakukua na sababu za msingi. Ila sasa ni kundi kubwa mno.BE SMART ingawa najua we ni praise and Worship team wa mama na huwezi kubali kuona ttz sehemu.
 
Maisha haya tunapita tu, usimtegemee sana binadamu kwani kesho yake hujui inafanana vipi. Chukulia poa tu, vinginevyo miaka hii kuelekea 2025 utaishi na maumivu makubwa ya moyo ambayo yanaweza kuja kukusumbua huko mbeleni.
 
Ukisema Magufuli kwa uzuri mnakuja na hadithi za usimtegemee mwanadamu. Ila ukisema mazuri ya Samia sio kumtegemea mwanadamu. Akili hizi sio za watu wa nyanda za juu kusini
 
Aliyekwambia mimi wa nyanda za juu kusini ni nani?. Mkuu mimi ni team CCM sio team Samia wala team Magufuli, hawa ni binadamu tu ambao hawajui pumzi yao lini itakuwa imekata.
 
Pole yako. Maana hao ndiyo wenye CCM yao sasa. Na bado Dr. Emmanuel Nchimbi na Membe. Nao muda si mrefu wataanza kula tena mema ya nchi.

Na kama hufurahishwi, basi tuungane sote kudai Katiba Mpya ya Wananchi.
Hiyo katiba ambayo inaonekana ni muarobaini wa kila kitu ataitunga Nani? Tume kama Ile ya Warioba au itatumika rasimu yake? Bunge maalumu kama lile la 2013/14? Kama hatua za kuipata hiyo katiba ni zile zile sioni ni Kwa vipi itakuja kutibu kila tatizo lililopo sasa.
 
Tumeoshuhudia Rais Samia Hassan akiwateuwa tena wale waliotenguliwa/achwa kwenye teuzi na mtangulizi wake rais Magufuli ambaye alikuwa naye ikulu .

Licha ya kusema yeye na Magufuli ni kitu kimoja ila ameonesha kuwa tofàuti sana na yeye kuwateuwa tena waliotenguliwa kwa kashfa mbalimbali:

1.Alfayo Kidata ,huyu alikuwa ikulu na baadae BOT ni mtalamu wa logistics JPM akampeleka bandarini Kisha akamtengua na kumrejesha Ikulu baadae akampa ubalizi Canada akaanza kula wine na wazungu wa barrick na kupewa mlingula JPM akawaka kwa nn sisi tunapambania madini yeye anakula pesa akamfutia na ubalozi Kisha akapewa saa 24 akabidhi ofisi , Samia amerejeshea TRA na Sasa anakula maisha

2. Nape Nnauye , aliwatetea wauza madawa ya kulevya vita iliasisiwa na JPM,wakati ametenguliwa Rais Samia alionekana kumuunga mkono JPM na kusema seikali ni kama mnyororo wa baiskeli akisema Nape alikosea kupambana na bosi wake ,Nape Leo anazunguka na chopa na kuchoma Kodi za watz amerudishwa tena

3. CP Hamduni ,huyu alioneka hana uwezo pale ilala huku akituhumiwa kwa rushwa na Kangi Lugola. Mama amemrusha vyeo na kumpa Ukuu wa TAKUKURU ,anakula maisha nimemuona Jana amenenepa hadi anatia wasiwasi anakula raha amerudi kwa Kasi

4.Batilda Burian. Mkongwe huyu JPM aliwahi kunukuliwa akimtaja kama kilaza wakati wa uundaji wa cabinet hakutaka hata kumsikia Leo yupo Tabora kama mkuu wa mkoa anakula bata maisha yanasonga

5. January Makamba, huyu sio tu alijiona ana akili sana ,JPM alimpenda sana na alitamani hata kumuoza mtoto wake alipojiunga na adui yake Kinana akamtupilia mbali kwa sasa amerejeshwa kwenye wizara nyeti anakula bata tu hana habari ya kutatika maumeme yenu .

6. Kinana ,alichukia sana sera za JPM hasa kuiita CCM ya Magufuli akaamua kukataa kazi akajiunga na wakosoaji, timu JPM wakamshughulikia akaomba radhi kumbe alikuwa na kinyongo ,Leo amerudi chamani kama kawaida life linasonga

7. Sophia Simba huyu JPM alimuita mswahili na mama asiye na staha wakazinguana kwenye ishu za viti maalumu Sophia alikuwa mwenyekiti wa wanawake wa CCM akasepeshwa kijanja leo amerudi kwa kasi

8. Profesa Makame Mbarawa . Huyu alionekana hafai goigoi ,mvivu na elimu yake ilitia shaka kwa JPM akatupwa Sasa amerudi

9. Shamsi Vuai Nahodha, aliwekwa nje kwa uzanzibar wake maana aliutukuza sana kuliko utanzania alinukuliwa kuunga mkono ajenda za muungano wa mkataba JPM akimfananisha na separatists wa Muungano na mzee sana ,Leo ameitwa napewa kazi yupo kama kawaida

10. Pindi Chana ,mzozo wa mahindi na vikwanzo vya korona vilimfanya JPM amuone dhaifu akarudishwa Dodoma haraka na kuwekwa bench ,Leo yupo anakula maisha kama Waziri wa Utalii

Wapo wengi sana tena sana ambao mama anawarudisha kwa Kasi na kwa kila teuzi ,ni vema tuweke list Yao hapa Wana JF maana jf Ina watu wengi wenye kumbukumbu mm nimeweka wachache nao kumbuka

Ongeza list hii

USSR
 
Hao wengine wameshajaribu kutafuta uongozi halafu wakashindwa?. Au ni nongwa tu za humu JF?.
Ohooo, kumbe kuna waliojaribu wakashindwa, nilidhani ile recruiting ya mwalimu ndiyo ilipaswa kuwekwa mbele kupata viongozi.

Nadhani ni nongwa tu za humu JF!.
 
Sukuma Gang pole, muwe mnakwenda basi hata kuhiji Chato badala ya kulalamika tu hapa mtandaoni; kwanza washamba na uwezo wa kuongoza hamnao
 
Mimi nawaapia hawa CCM wenzangu, mwaka 2025 wasinisumbue. Wawatumie haohao akina Batilda na Pindi Chana kuomba kura.
 
Tunachokosea watanzania ni kudhani kuwa tunachofikiria ndicho hicho hicho anachofikiria kila mtu anayetuzunguka.

Siwezi kuiita tabia hii kama ni uvivu wa kufikiria, lakini imechangia sana kutukwamisha, uelewa wetu ukiwa mdogo tunadhani kuwa na wa wale wanaotuzunguka pia wana uelewa mdogo.

Adui wa mwenzako sio lazima awe ni wa kwako, kama nafsi yako haiwezi kuiva na ya mtu fulani sio kigezo kwamba kila mtu atashindwa kuiva na huyo adui yako wewe.

Kama kina Sophia Simba na Batilda walikuwa ni maadui wa JPM sio kigezo cha wao kuwa maadui wa Samia. Na hali hiyo ni kwa wanasiasa wote wanaorudishwa serikalini na kupewa tena vyeo vyao vya zamani.
Tofautisha mahusiano ya mtu na uongozi wa umma...hao walishatiwa doa mbele ya umma..walistahili kuendelea kuwa nje hadi watakaporejeshwa na umma...eboo
 
Kutiwa doa na umma unamaanisha nini?. Hizi kashfa zetu ambazo mara nyingi ni sababu ya wivu na chuki ndio unaziita kutiwa doa na umma!!?.

Punguzeni chuki zinaumiza mioyo na kusababisha kifo cha mapema sana.
 
Ohooo, kumbe kuna waliojaribu wakashindwa, nilidhani ile recruiting ya mwalimu ndiyo ilipaswa kuwekwa mbele kupata viongozi.

Nadhani ni nongwa tu za humu JF!.
Recruiting ya mwalimu ni ya kabla ya 1985 miaka 37 iliyopita, nchi na watu wake wanakwenda wakibadilika.
 
Tunachokosea watanzania ni kudhani kuwa tunachofikiria ndicho hicho hicho anachofikiria kila mtu anayetuzunguka.

Siwezi kuiita tabia hii kama ni uvivu wa kufikiria, lakini imechangia sana kutukwamisha, uelewa wetu ukiwa mdogo tunadhani kuwa na wa wale wanaotuzunguka pia wana uelewa mdogo.

Adui wa mwenzako sio lazima awe ni wa kwako, kama nafsi yako haiwezi kuiva na ya mtu fulani sio kigezo kwamba kila mtu atashindwa kuiva na huyo adui yako wewe.

Kama kina Sophia Simba na Batilda walikuwa ni maadui wa JPM sio kigezo cha wao kuwa maadui wa Samia. Na hali hiyo ni kwa wanasiasa wote wanaorudishwa serikalini na kupewa tena vyeo vyao vya zamani.
Je ni kweli ndani ya CCM hakuna watu wengine wenye uwezo ni Hawa tu?
 
Huyo JPM wenu kwani yeye alikuwa Nani kiasi kwamba eti aliyemfukuza yeye kazi,Basi hafai kabisa kuaminiwa tena.!

Alikuwa na usafi gani haswaa, aliongozwa na Chuki na roho mbaya,udini na ukabila,

Na angekuwa mtu makini asingewateua majambaz Kama Sabaya kuwa kwenye uongozi wake, msitake kumtukuza huyo mungu wenu,Hana Wala hakuwa na hati miliki na hii Nchi,

Mb,,,,wa nyie
Bora sabaya aliwaibia matajiri aisee Hawa wanaokula pesa za masikini walipa kodi Wanaumiza zaidi alafu wala hawajari
 
Philipo bukililo,Wewe unafikra mbilikimo na akili zenye matege,unaona ni sahihi kula matapishi?, Tanzania ni kubwa na ina vijana wengi wasomi na wazalendo,kwa nini ateue walewale watu waliochoka na wapigaji? Na wewe kwa sababu ya upoyoyo ulionao unaona ni sahihi,
Mkuu mtu kama huyu ntamuelewa kama amelipwa afanye kazi ya kukutetea haya maujinga lakini Kama ndo anawasilisha mawazo yake basi akili ni kisoda hafai kabisa kuitwa mtanzania ni aibu.
 
Hata kama huna akili kiasi gani lkn katika teuzi hizi lzm uwe na kitu cha kujiuliza. Angekua mmoja tunasema kawaida tu huwez rithi maadui,wa pili, tatu hadi system nzima inajaa waliompinga Magufuli hushtuki tu kuna nn?Hakuna teuzi utasema alikua swahiba wa Magufuli. Kila teuzi utaona nyuma hakukua sawa na Magufuli. Na ndio maana watu wanaamini kuna team inaondolewa na team flani inarudishwa na hizi team zote ni hasimu. Ingekua ni mmoja au wawili tungesema sawa Magufuli huenda alikua na shida nao na hakukua na sababu za msingi. Ila sasa ni kundi kubwa mno.BE SMART ingawa najua we ni praise and Worship team wa mama na huwezi kubali kuona ttz sehemu.
Waache warudi kazini tujenge Nchi yetu. Magufuli alikuwa na chuki kuliko shetani na ndiyo maana akatwaliwa mapema.

Hivi kweli walivyotendewa wenye vyeti feki ilikuwa sahihi?
 
Back
Top Bottom