Uzi maalumu wa kujuzana maeneo na fursa zinazopatikana

Mkuu wewe unachakarika na nini?! Tugusie kidogo labda na sisi wa Dodoma tunaweza kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Miim npo kwenye maswala ya miamala ya mitandao M-PESA,tigopesa pia mm in mfanyakazi so bado huku Giza no kubwa sana na Luna muako mdogo sana kwenye maswala ya biashara
Tatuta pesa uje na mtaji wako huku maisha in marahisi has a kwenye maswala ya vyakula na ujenzi

Mpe anae kupa
 
Kama unae mtaji njoo huku vijiji vya kigom bado watu hawajafufuka kabisa ki**** utapga pesa mpaka ufurahi
Mm mwenyw napga Nazi huku Nina kaofisi kangu namshukuru mungu dikosi 300000 kwa mwezi mbsli na salary yangu


Mpe anae kupa
Sijaelewa fursa iliopo huko kigoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta mtaji wako uje Kigoma kuna fursa ming sana hasa vijijin

Mpe anae kupa
 
Fursa ni kulingana na sehemu ulipo, kama ni biashara hizi za kawaida uza chakula, nafaka au vyakupikwa huwezi kukosa riziki.
Nyingine ni kilimo hapa inabidi ujifue kweli kweli, kujifunza, mtaji na usimamizi. Binafsi ilinichukua miaka mi3 kuanza kilimo tangu niliponunua mashamba. Faida ipo ila sio kama zile calculations za motivatinal speakers, na inahitajika kujifunga mkanda kweli kweli, kwangu kilimo imekuwa sehemu yangu yakuongeza kipato na kutengeneza mitaji yakuongezea kwenye hizi formal business nizifanyazo mjini, naweza nisichukue mkopo wowote kukuza vijibiashara vyangu shamba likanisaidia kufanya hivyo.

Kingine kufanya biashara zinazowahusu wanawake, si unawajua muda mwingine ni bora wasile ila wavae vizuri, kunukia, kusuka n.k
 
Kwa Huduma Bora na Uhakika. Karibu kwa Matatizo yoyote ya Generator lako. Kama unauza au unataka kununua njoo ofisini kwetu. Pia tunafanya Maintenance service kwenye Engine na Ac alternator/Kinu. Wasiliana na nasi kwa 0693296809 Call and Whatsapp. Karibuni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom