Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Najitahidi kuweka picha nashindwa kutokana na aina ya simu ninayotumia, nikimpata mtaalam nitamuomba anisaidie kama ataweza, asanteni
 
La muhimu weka namba ya simu upigiwe simu,na kusaidiwa.unapoficha namba unaonekana tapeli
 
Kwenye RIBA hapo ndio shughuli,nenda Platinum au Acces Bank fasta tuu lakini RIBA yao mmhhhhhh.
 
Kuwa specific ni mkopo gani unahitaji personal loan au business loan? Kama ni business loan nipm
 
Habari wana JF,

Nahitaji mkopo kwa ajili ya kuendeleza biashara.Mkopo huo utalipwa kwa awamu moja ila kwa atakaye toa pia atasikilizwa anataka kulipwa kwa awamu ngapi ila kwa anayekopesha kwa riba ni awamu 3 mpk 2 mfano laki na nusu atalipwa laki 2 kwa siku 45.
 
Unataka mkopo wa shilingi ngapi,riba hupangi wewe na masharti hupangi wewe,wewe huna pesa unakopeshwa huwezi kupanga mashrt,Mwisho kabisa Dhamana yako ni ni nini usije ukaingia mitini!
 
Yaani mkopo utake wewe,na taratibu ujipangie mwenyewe,,,hakuna mkopo wa hivyo duniani,hata WB tu wanamasharti yao ndo sembuse MTU asiyekufahamu...
 
Yaani mkopo utake wewe,na taratibu ujipangie mwenyewe,,,hakuna mkopo wa hivyo duniani,hata WB tu wanamasharti yao ndo sembuse MTU asiyekufahamu...
Kila MTU lazima aseme alivyo hata huyo anayetoa pia anasikilizwa ndo maana likawekwa ili ujue unayempa kitu chako huko vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…