Uzi maalumu kwa wale wanaoingia Shift Usiku.

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Jf wote siyo wafanyakazi wa kuingia kazini mchana kuna wale wafanyakazi wanaoingia Usiku(night)
Mfano. Manesi,madoctor,walinzi,Polisi na kadharika.

Huu uzi ni kwa wale wanaongia kazini shift za usiku .

Kipindi wengine wamelala sisi tuko huku tunapiga stor na kupeana update za kazi.

Ps.
Mod mniamishie uzi wangu jukwaa usiku.
 
Zero IQ...
 
Back
Top Bottom