Uzi maalumu kwa picha za Chalii za chuga.

Ni life style ila wengi wao ni vibaka.
Kama mtu wa kuja kutalii ili wasikuzingue nunua dogdog,kapero na butii kubwaaa utakuwa mabest nao na hutasumbuliwa ata na nzi.
...nimekulia ngalimi,sa ivi naishi daraja be.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…