HARAKATI ZOTE
Senior Member
- Mar 6, 2016
- 159
- 78
grea uzi
App imeboreshwaApp imeboreshwa
Sasa unaweza kusikiliza sauti za kitabu kizima cha Biblia hata kama app itakua imefungwa. (Listen in the background)
Pia unaweza kupakua (Download) sauti za kitabu kizima na baada ya kupakua unaweza kusikiliza muda wowote bila intaneti.
Ingia playstore na tafuta "Biblia Takatifu na Sauti" ili kuipakua app hii, au bofya kiungo hiki Biblia Takatifu na Sauti - Swahili audio Bible - Apps on Google PlayView attachment 1550322View attachment 1550324View attachment 1550325
Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
Ndio inawezekana, ila kikubwa we tengeneza kwazi app yako kisha iache kwanza free ili ukusanye mawazo kweny mapungufu urekebishe kisha ndio uje kuwaza kuweka matangazo.Wakuu naomba kdg munifungue macho,nilisikia mahali ya kuwa hizi mobile app unaweza kuzi link na admob au Facebook ads na ukamake pesa,napenda kujua kiundani zaidi kama kuna mwenye uzoefu.
anzania hapa W3Schools Online Web TutorialsTusaidizane jaman
Unaweza mzee na ni nzuri sana hiyo kwa intelligence app kma za real time locationmwaminifuhalisi, Tuko pamoja mkuu lakini nina swali, je sisi tunaotuma C language hatuwezi kutengeneza app?
Ndio inawezekana mkuuWakuu naomba kdg munifungue macho,nilisikia mahali ya kuwa hizi mobile app unaweza kuzi link na admob au Facebook ads na ukamake pesa,napenda kujua kiundani zaidi kama kuna mwenye uzoefu.
sio lazima ila ni muhimuIvi kwenye kutengeneza App kwenye Android studio lazima u-connect PC yako na internet?? Msaada
Mkuu andika hivi kwenye google Search engine adobe cs6 master collection 94FBR. Zitatoka crack kibao hapo utachaguwa unayo itaka. adobe cs6 master collection 94FBR - Google SucheNaomba mwenye utaalamu wa link ambayo ninaweza kupata adobe cs6 master collection crack anisaidie. Natanguliza shukrani
Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
Punguza bei ya app yako premium packages ziko juu bei, tuwekee bei ya kizalendo tujivunie vya kwetu.App yaangu ya PDF imeboreshwa kwa muonekano mpya. Inapatika playstore kwa kiungo hiki All PDF - PDF Reader, PDF Viewer & PDF Converter - Apps on Google Play
Au unaweza kwa uipata kwa kuandika All PDF View attachment 1959629View attachment 1959630View attachment 1959631View attachment 1959632View attachment 1959633
Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
Kuna options tofauti ndyo maana. Njoo inbox nikupatie promo code upate pro version burePunguza bei ya app yako premium packages ziko juu bei, tuwekee bei ya kizalendo tujivunie vya kwetu.View attachment 2065794