Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

App imeboreshwa
Sasa unaweza kusikiliza sauti za kitabu kizima cha Biblia hata kama app itakua imefungwa. (Listen in the background)

Pia unaweza kupakua (Download) sauti za kitabu kizima na baada ya kupakua unaweza kusikiliza muda wowote bila intaneti.

Ingia playstore na tafuta "Biblia Takatifu na Sauti" ili kuipakua app hii, au bofya kiungo hiki Biblia Takatifu na Sauti - Swahili audio Bible - Apps on Google PlayView attachment 1550322View attachment 1550324View attachment 1550325

Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
App imeboreshwa
 
Wakuu naomba kdg munifungue macho,nilisikia mahali ya kuwa hizi mobile app unaweza kuzi link na admob au Facebook ads na ukamake pesa,napenda kujua kiundani zaidi kama kuna mwenye uzoefu.
Ndio inawezekana, ila kikubwa we tengeneza kwazi app yako kisha iache kwanza free ili ukusanye mawazo kweny mapungufu urekebishe kisha ndio uje kuwaza kuweka matangazo.
 
App yangu ya Biblia. Unaweza kusoma au kusikiliza sauti bila kutumia bando. Ipakue play store
Screenshot_20210225-180732~2.jpg
 
Aisee

Nilianza kwanza kuwoma java language
Nikafuata Android Studio
Nikaanza kudesign app tu za kujifunza kuprogram lakini nikastop sasa naona ngoja nianze tena nimeona kuna watu wanajua pia tunaweza saidiana labda.
 
App yaangu ya PDF imeboreshwa kwa muonekano mpya. Inapatika playstore kwa kiungo hiki All PDF - PDF Reader, PDF Viewer & PDF Converter - Apps on Google Play

Au unaweza kwa uipata kwa kuandika All PDF View attachment 1959629View attachment 1959630View attachment 1959631View attachment 1959632View attachment 1959633

Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
Punguza bei ya app yako premium packages ziko juu bei, tuwekee bei ya kizalendo tujivunie vya kwetu.
Screenshot_20220102-095459_All%20PDF.jpg
 
Mwalimu nina shida na source code za app ya android media player, hususan audio. Kama zipo please naziomba. Thanks.
 
Back
Top Bottom