GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Tunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za ubunge.

Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia kugombea nafasi ya Ubunge na watakaopitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo.

Juni 2025
Julai
 
Wadau thread hii ni ya kuhabarishana kuhusu watia nia katika majimbo mbalimbali Tanzania bila kujali ni wa Chama gani cha siasa. Nani katia nia jimbo gani na taarifa zake
 
Wadau thread hii ni ya kuhabarishana kuhusu watia nia katika majimbo mbalimbali Tanzania bila kujali ni wa Chama gani cha siasa. Nani katia nia jimbo gani na taarifa zake
Principius Sabinian Rwazo amechukua form kugombea ubunge wa jimbo la Karagwe. Kwa sasa mbunge anayeliwakilisha jimbo hilo ni Innocent Bashungwa waziri wa mambo ya ndani.
 

Attachments

  • IMG-20250628-WA0010.jpg
    62.7 KB · Views: 22
  • IMG-20250628-WA0008.jpg
    47.3 KB · Views: 26
Duuh! Kweli bungeni kuna hela! Mpk mtu anaacha ukurugenzi
wa TRC na kwenda kugombea ubunge???!!
Huko kwenye mashirika kuna uwajibikaji mkubwa. Ukiwa Mbunge hata usipochangia hoja kabisa unapata zile per dim, posho za makalio, mshahara mkubwa, unakuwa mwanakamati huko nako kuna posho za makalio. Unapewa pesa za jimbo. Unalipiwa dereva, unajaaziwa mafuta sijui lita ngapi kwa mwezi.
Mwisho kabisa hakuna mtu wa kumuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…