sima salva official
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 210
- 90
subir waje
Naona unachangamkia fursa safi sanaOrodheshen namba zenu niwafungulie group whatsapp,ila mnachanga kichwa kimoja buku 5 kama huna kichwa bure
Hahavyuo vilikuwa 52, 19 vimepigwa pending kwahiyo vimebaki 33 ukitoa na kozi zilizofungiwa kudahili hapo ukipata chuo nenda kwanza kanisani au msikitini kushukuru
Hongera mdau...vp vyuo vingine hawajatoa tu aisee
nahitaji iphone 6Jamani nauza iphone 6 na nina simu nyingi tu ambazo ni used kwa wiki hadi mwezi. Iphone 6 ina 16 gb ram 2 gb . Bei 520000 shs
Nina samsung s6 32gb 370000 shs
Samsung s6 64 gb 470000 shs
Samsung grand prime . 430000
Niche kwa whats app boss 0689800817nahitaji iphone 6