Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Ok
Basi miaHiyo @po juu
Mbona kawaida tu kuitwa dog kwn psychologically unakuwa affected na nin????? [emoji30]Ukiitwa Dogo Na Third Year
Utajisikia Normal?
Umenikumbusha Mbali Sana.
Acha Kupotosha Umma
Kaza kichwa chako. Wakati mie nimewasilian na chuo kudhibitisha tatizo ubishe ambao haina faida kaza kichwa S'sAcha Kupotosha Umma
Hapo Ni Wakati Unaomba
Course Na Sio Kwamba Umechaguliwa. Matokeo
Bhado...
Mkuu ulivyoongea nao wanasemaje na Mimi nimeomba hapoKaza kichwa chako. Wakati mie nimewasilian na chuo kudhibitisha tatizo ubishe ambao haina faida kaza kichwa S's
Wamepewa update kutok TCU majina waliochaguliwa kujiunga chuoni hapo. Wa nasubiri confirmation tu ya mwanafunzi uko login kweny. Account utaona application status yako. Google *saut oas* then Bofya *saut admission* then. Ukiingia kuna sehemu ya kulogin a registered user Bofya login then utaona application status yakoMkuu uliovoongea nao wanasemaje na Mimi nimeomba hapo
Una moyo mkuu umechagua art with education ?!!!
SawaWamepewa update kutok TCU majina waliochaguliwa kujiunga chuoni hapo. Wa nasubiri confirmation tu ya mwanafunzi uko login kweny. Account utaona application status yako. Google *saut oas* then Bofya *saut admission* then. Ukiingia kuna sehemu ya kulogin a registered user Bofya login then utaona application status yako
hii inamaanisha kitugani?