Uzi maalum wa Nyumba/Apartment zinazouzwa na kupangishwa

*PLOT FOR SALE/VIWANJA VINAUZWA*
1. *KIMARA* (bonyokwa)
sqm 900
Price: 15m

2. *GOBA*(TEGETA A street)
Sqm 625 ( meter 25*25)
Price 16m

3. *CHANIKA*
sqm 400
Price 2.2m.

4. *KITUNDA*
sqm 850
Price : 9m
 
Ina vyumba vi 4 vya kulala, viwili kati ya hivyo ni self contained

Ina hatili miliki (title deed)

Bei miliin 350 maongezi yapo

Nyumba nzuri sana

Mita 300 kutoka bara bara ya lami.
IMG-20190417-WA0074.jpeg
IMG-20190417-WA0079.jpeg
IMG-20190417-WA0076.jpeg
IMG-20190417-WA0077.jpeg
IMG-20190417-WA0078.jpeg
IMG-20190417-WA0073.jpeg
IMG-20190417-WA0072.jpeg
IMG-20190417-WA0075.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
OFA YA PASAKA

VIWANJA VINAUZWA
Ni mradi wa viwanja zaidi ya 500
Vimepimwa na vina sqm kuanzia SQM500 hadi SQM1500


LOCATION
Kimbiji kijaka
Karibu na kiwanda cha cement

UMBALI
Vipo mita 300 kutoka barabara kubwa ya mwasonga inayo enda kimbiji.

DOCUMENTS
Vimepimwa vyote

BEI
Tsh milion1.5 na kuendelea kutegemea na ukubwa wa kiwanja.

IMG-20190417-WA0091.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
SALON YA KIUME INAUZWA NA VITU VYAKE VYOTE.

Nina salon ya kiume naiuza pamoja na vitu vyote vilivyopo ndani, Ipo maeneo ya banana kituoni, kwa shilingi Milioni 6 maongezi yapo.
Mawasiliano 0620674279

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*PLOT FOR SALE/VIWANJA VINAUZWA*
1. *KIMARA* (bonyokwa)
sqm 900
Price: 15m

2. *GOBA*(TEGETA A street)
Sqm 625 ( meter 25*25)
Price 16m

3. *CHANIKA*
sqm 400
Price 2.2m.

4. *KITUNDA*
sqm 850
Price : 9m
Mkuu natafuta kiwanja Bonyokwa ya tabata. Weka ulivyonavyo na bei zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*NYUMBA INAUZWA*

*LOCATION* KIGAMBONI VIJIBWENI

Vyumba vitatu vya kulala kimoja kati yake ni master, jiko, dining, sebule, public toilet, Tiles, Gypsum,
___
*DOCUMENTS* SERIKALI YA MTAA

*BEI* MIL 38 TZS
IMG-20190418-WA0018.jpeg
IMG-20190418-WA0017.jpeg
IMG-20190418-WA0019.jpeg
IMG-20190418-WA0016.jpeg
 

Attachments

  • IMG-20190418-WA0019.jpeg
    IMG-20190418-WA0019.jpeg
    64 KB · Views: 36
JUMBA LA KIFAHARI LINAUZWA

MUUNDO WA NYUMBA
Ni nyumba ya vyumba vitano(4 masterbed room)
Pia ina;
-dinning
-sitting
-kitchen
-public toilet
-parking kubwa sana

Lakini pia ina servant quota
DOCUMENTS
Eneo lina ukubwa wa sqm 2700 na lina hati miliki(full title deed)
LOCATION
Salasala
UMBALI
Dakika 3 toka barabara kuu
BEI
Tsh bilion 2 tu.(mazungumzo yapo).
20190418_095038.jpeg
IMG-20190418-WA0021.jpeg
20190418_095010.jpeg
 
*VIWANJA VINAUZWA*

*LOCATION*: KIGAMBONI GEZA

_VIPO SEHEMU MOJA KILA KIMOJA KINA DOCUMENTS ZAKE_
*DOCUMENTS* VIWANJA VIMEPIMWA NA VINA HATI

*UKUBWA* KILA KIMOJA KINA SQM 812

*BEI* KILA KIMOJA MIL 22 TZS
IMG-20190418-WA0063.jpeg
 
MKOPO WA VIWANJA.
TUNAKOPESHA VIWANJA VYA KUPIMA KIGAMBONI GEZA ULOLE.

SQM 1 TUNAUZA TSH 15,000

Viwanja vina ukubwa tofauti kuanzia SQM 400, 500, 600 nakuendelea huduma muhimu zote zipo kama Shule, Hospital, Maji na Umeme.

Mteja anatakiwa kulipa Asilimia 50% alafu inayobakia anamalizia ndani ya Miezi Mitatu.

IMG-20190418-WA0068.jpeg
 
Viwanja vinauzwa kerege Amana,

Kutoka bagamoyo road ni 3km
na kutoka baharini ni 3K Viko katikati

Bei ya kiwanja ni 13,000 kwa Sqm

Malipo ni miezi 6 au Cash

Hivyo vyenye Dot ya blue ndio bado havijauzwa
Karibuni.
IMG-20190419-WA0006.jpeg
 
1)-Viwanja vinauzaa Goba Kulangwa

2)-Viwanja vimepimwa na vina hati.

3)-viwanja unaweza kulipa kwa awamu ndani
ya mwaka! au cash

4)-Vipo mita 400 toka barabara ya lami

5)- Bei ni 37,000 kwa sqm
IMG-20190419-WA0037.jpeg
 
HOUSE FOR SALE
BEI MILIONI 120
IPO KIGAMBONI VIJIBWENI

INA VYUMBA VITATU
#Kimoja master sitting room dinning room toilet public jiko stor ina parking maji na Umeme.

Kiwanja kina SQM 400
View attachment 1077226
IMG-20190421-WA0001.jpeg
IMG-20190421-WA0000.jpeg
IMG-20190421-WA0003.jpeg
IMG-20190421-WA0004.jpeg
IMG-20190421-WA0005.jpeg
IMG-20190421-WA0006.jpeg
IMG-20190421-WA0007.jpeg
 
Nyumba inauzwa mbez beach area kwa zena kawawa ina room 3 master setting room daining room kitchen and store uwanja sqm 780 be million 250 maongezi yapo.
IMG-20190422-WA0015.jpeg
 
NYUMBA INAUZWA
_______________
IPO ; KIGAMBONI - KIBADA
____________________
MAHALI ; KIGAMBONI -
_______________
_______________
BEI; MILIONI MIA MBILI NA THALASINI (230,000,000) _________________
KIWANJA KINA HATI ZOTE ZA UMILIKI. SQM.700
__________________
VYUMBA VINNE VYA KULALA
________________________
#2_bedroom_master
#Sitting_room
#dinning_room
#slide_Windows
#puplic_toilet
#car_parking_space
#fancing
#full_Securty_services
___________
IMG-20190423-WA0059.jpeg
IMG-20190423-WA0058.jpeg
IMG-20190423-WA0051.jpeg
IMG-20190423-WA0061.jpeg
IMG-20190423-WA0055.jpeg
IMG-20190423-WA0050.jpeg
IMG-20190423-WA0054.jpeg
IMG-20190423-WA0055.jpeg
IMG-20190423-WA0048.jpeg
IMG-20190423-WA0052.jpeg
 
-Viwanja vinauzwa Goba kisauke
-Vipo karibu na barabara kabisa
-Ukubwa vimeanzia 400sqm 20*20
-Bei ya Viwanja vimeanzia 15m.
-Vipo viwanja 30
-Viwanja vilivyobaki ni vya makazi na Nursery school.
Kwa mawasiliano nichek kwa 0684448888 au 0713415537
IMG-20190424-WA0025.jpeg
 
VYUMBA VI 4 VYAKULALA KIMOJAWAPO master SEBULE KUBWA, dining, JIKO KUBWA ZURI LENYE MAKABATI MAZURI, stoo, hither, ,Electric Security Fence, cc tv camera, AC, garden MAZINGIRA MAZURI USALAMA UPO WAKUTOSHA, IPO KIMARA KOROGWE DK 3 KWA MIGUU KUTOKA KITUO cha MABASI ya MWENDOKASI
Full. Tails. Gypsum windows sliding, paving blocks sola power NA TANESCO
BEI TSH. 700 000X2
AU ULIPE 700 000X 8

Kwa maelezo zaidi nichek kwa 0713415537 au 0684448888
IMG-20190424-WA0034.jpeg
IMG-20190424-WA0036.jpeg
IMG-20190424-WA0031.jpeg
IMG-20190424-WA0035.jpeg
IMG-20190424-WA0041.jpeg
IMG-20190424-WA0040.jpeg
IMG-20190424-WA0038.jpeg
IMG-20190424-WA0039.jpeg
IMG-20190424-WA0037.jpeg
IMG-20190424-WA0036.jpeg
IMG-20190424-WA0033.jpeg
 

Attachments

  • IMG-20190424-WA0037.jpeg
    IMG-20190424-WA0037.jpeg
    73.6 KB · Views: 36
Back
Top Bottom