Uzi maalum wa Nyumba/Apartment zinazouzwa na kupangishwa

Hiyo Nyumba inauzwa Ipo Mbagala Chamazi DSM Bei Yake ni Tsh mill 30 na Maongezi yapo Ina Vyumba 3 kimoja Master bedroom, Ina Public toilet, Sitting room, Dinning, Kitchen.
View attachment 1073060View attachment 1073062View attachment 1073061
IMG-20190416-WA0202.jpeg
IMG-20190416-WA0201.jpeg
IMG-20190416-WA0205.jpeg
IMG-20190416-WA0204.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Nyumba inauzwa Ipo Mbagala Chamazi DSM Bei Yake ni Tsh mill 30 na Maongezi yapo Ina Vyumba 3 kimoja Master bedroom, Ina Public toilet, Sitting room, Dinning, Kitchen.
IMG-20190416-WA0210.jpeg
IMG-20190416-WA0211.jpeg
IMG-20190416-WA0212.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari: Nyumba Inauzwa Ipo Mbezi Mwisho Ya Kimara Msakuzi Ina Vyumba 2 Vya Kulala Chumba Kimoja Ni Master Sebule Jiko Dinning Public Toilet Tiles Gypsum, Ukubwa Wa Sqmt 800 Nyumba Inauzwa Milion 50 Documents Za Mauziano Kutoka Serikali Ya Mtaa
IMG-20190416-WA0223.jpeg
IMG-20190416-WA0224.jpeg
IMG-20190416-WA0233.jpeg
IMG-20190416-WA0226.jpeg
IMG-20190416-WA0227.jpeg
IMG-20190416-WA0218.jpeg
IMG-20190416-WA0232.jpeg
IMG-20190416-WA0220.jpeg
IMG-20190416-WA0216.jpeg
IMG-20190416-WA0219.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viwanja Vinauzwa Goba kwa mkopo
Vina ukubwa wa Sqm 400 mpaka 3728
umbali wa mita 30 kutoka barabara kuu, Viwanja vimepimwa na vina hati, Bei zimeanzia 15M karibuni
IMG-20190416-WA0234.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwanja kipochanika buyuni
Kituo maarufu Tariani
Karibu na nyumba za Psp....
pande zote ni barabara
Sqm 30,000,Heka 7.....
Kinahati Miliki
Unaweza jenga Kiwanda,Shule n.k
Umeme,Maji Uduma Zote za kijamii zipo
Leta ofa leta ofa
Makadirio Makadirio..... *120M*


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beach inauzwa Kigamboni, Ukubwa ni ekari Moja, upande wa Beach umegusa maji na upande wa juu umegusa Lami Bei ni 1.5B maongezi yapo kidogo
IMG-20190416-WA0235.jpeg
IMG-20190416-WA0237.jpeg
IMG-20190416-WA0238.jpeg
IMG-20190416-WA0236.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba inauzwa ipo mikocheni kwa warioba nyumba kali sna ina sqmt 1800 ina room 5 bei 600,000$ mazungumzo yapo. Ukielewa nichek kwenye namba zangu.
IMG-20190416-WA0248.jpeg
IMG-20190416-WA0251.jpeg
IMG-20190416-WA0252.jpeg
IMG-20190416-WA0246.jpeg
IMG-20190416-WA0247.jpeg
IMG-20190416-WA0255.jpeg
IMG-20190416-WA0248.jpeg
IMG-20190416-WA0249.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20190416-WA0250.jpeg
    IMG-20190416-WA0250.jpeg
    76.1 KB · Views: 46
  • IMG-20190416-WA0249.jpeg
    IMG-20190416-WA0249.jpeg
    100.1 KB · Views: 43
#Ununio viwanja #vimepimwa

Matumiz: Residential

#250meters kutoka mainroad

#400meters kutoka baharini(Hawaii Beach Ununio)

#800sqm,815sqm,820sqm,830sqm,840sqm,850sqm

# kila kiwanja bei ml80

IMG-20190416-WA0258.jpeg
IMG-20190416-WA0259.jpeg
IMG-20190416-WA0260.jpeg
IMG-20190416-WA0257.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
JUMBA LA KIFAHARI LENYE NAKSHI ZA KISASA LINAUZWA..

MUUNDO WAKE
Ni nyumba ya vyumba vinne(vyote ni master)
Pia ina;
-dinning
-sitting
-jiko kubwa lenye makabati
-public toilet
-store
-parking kubwa mnoo ya gari zaidi ya 10

Pia ina ground floor yenye chumba,sebule na choo
Vile vile ina servant quota yenye chumba,sebule na choo.

HUDUMA ZA KIJAMII
-Maji ya dawasco
Pia ina tanki nne za kuhifadhia maji
-umeme wa tanesco

NYARAKA ZAKE
eneo limepimwa lina sqm 2800 na hati miliki

ENEO NYUMBA ILIPO
Mbezi makabe (kwa mtei)
Pembezoni mwa barabara

UMBALI
Mita 2 kutoka barabara ya kwenda msumi

BEI
Tsh milion 500(mazungumzo yapo)
Njoo na ofa yako utasikilizwa


ZINGATIA
imetengenezwa kwa material origino kutoka italia na uhispania
Ni nyumba imara sanaa.

IMG-20190416-WA0265.jpeg
IMG-20190416-WA0261.jpeg
IMG-20190416-WA0262.jpeg
IMG-20190416-WA0263.jpeg
IMG-20190416-WA0264.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20190416-WA0261.jpeg
    IMG-20190416-WA0261.jpeg
    69.7 KB · Views: 40
*HOSTEL INAUZWA...*

Ipo Mbezi Ruguluni karibu na chuo cha St Joseph (1 km toka Hostel hadi chuoni)

Ina jumla ya vyumba 24

Vyumba 22 vina vyoo ndani (self contained rooms)

Vyumba 2 vina sebule na vyoo ndani (living & siting self contained rooms)

Kuna maji ya DAWASCO

Kuna kisima cha kisasa

Kuna tanki 2 za lita 10,000 kila moja za kuhifadhia maji

Kuna eneo la kulia chakula

Kuna eneo la kuegesha magari tisa

Imezungushiwa ukuta na geti

Kuna vizuia moto na vifaa vya kuzimia moto

Ipo kwenye eneo la ukubwa wa 667 sqm

*Bei Tshs 300,000,000/= (milioni mia tatu tu)*
Maongezi yapo...
Maelezo zaodi napicha nichek whatsapp

Sent using Jamii Forums mobile app
MILIONI MIA TATU, kuwa serious wewe.

ukinunua kitu cha zaodi ya milioni 20 TRA, PCCB NA TISS wanakuja kukuhoji, hizo 300 utaeleze nini?
 
Jumba la kifahari la gorofa linauzww Bunju beach Dsm
Lina vyumba vitano vya kulala,, ukubwa wa eneo ni 1500sq nisiseme mengi, angalia picha
Bei ni 600M
20190416_131204.jpeg
20190416_131315.jpeg
20190416_131252.jpeg
20190416_131416.jpeg
20190416_131403.jpeg
20190416_131429.jpeg
20190416_131351.jpeg
20190416_131334.jpeg
20190416_131243.jpeg
20190416_131217.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nyumba ipo madale shule ya Atlas uwanja ukubwa wake ni 40×20
Bei ml33 maongezi yapo
gari inafika mpaka mlangoni
Ina vyumba vitatu3 kimoja master
Sebule
Daining
Jiko
Choo cha public
IMG-20190416-WA0269.jpeg
IMG-20190416-WA0271.jpeg
IMG-20190416-WA0275.jpeg
IMG-20190416-WA0268.jpeg
IMG-20190416-WA0272.jpeg


Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20190416-WA0272.jpeg
    IMG-20190416-WA0272.jpeg
    92.6 KB · Views: 38
Nyumba inauzwa kama ilivyo ina vyumba vinne viwili master ina hati miliki ipo Dodoma ilazo kiwanja kina sq 700 bei 55ml .
IMG-20190416-WA0278.jpeg
IMG-20190416-WA0277.jpeg
IMG-20190416-WA0281.jpeg
IMG-20190416-WA0280.jpeg


Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Katika watu amabao nawaogopa sana ukiachana na majambazi ni madalali hawa jama wanaweza kukufanya ujione fala aseee. najua sana kutamka bei kuliko TRA
 
Uzi mzuri sana Mkuuu. Ushauri; Achana na hizo Nyumba za Bei rahisi Chamazi zitakukosanisha na Wateja wako au zitafanya uione kazi yako chungu. Vinginevyo hongera sana
 
Uzi mzuri sana Mkuuu. Ushauri; Achana na hizo Nyumba za Bei rahisi Chamazi zitakukosanisha na Wateja wako au zitafanya uione kazi yako chungu. Vinginevyo hongera sana
Kwani mkuu funguka tu,
 
Back
Top Bottom