Uzi maalum wa Nyumba/Apartment zinazouzwa na kupangishwa

Hizi apartment zipo mbili tuu kwenye fensi moja na hii moja ndio ipo wazi ina vyumba 3 vya kulala kimojawapo ni master, sebule kubwa,dining,jiko na choo cha familia, kila apartment inajitegemea kwa kwa kila kitu kuanzia umeme wake na maji yake dawasco BEI NI 250k x 6,zipo kimara temboni upande wa kulia km unaenda mbezi kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 2.5

Temboni Nyumba zipo
Kwa maelezo nichek kwa 0713415537
IMG-20190818-WA0057.jpeg
IMG-20190818-WA0056.jpeg
IMG-20190818-WA0058.jpeg
IMG-20190818-WA0059.jpeg
IMG-20190818-WA0063.jpeg
IMG-20190818-WA0050.jpeg
IMG-20190818-WA0066.jpeg
IMG-20190818-WA0054.jpeg
IMG-20190818-WA0052.jpeg
IMG-20190818-WA0049.jpeg
IMG-20190818-WA0062.jpeg
 
Uzi mzuri sana kumbe hata sisi tunawepa pata viwanja hapa dar nilidhani tukomae kule mkoani tu

Soon nitakucheki

Halafu dizaini za nyumba za mbagala za ajabu ajabu marangi rangi ya kishamba

Anyway kazi nzuri
 
Back
Top Bottom