dredlock Senior Member Feb 25, 2017 120 465 Nov 14, 2017 #1 Uzi huu utakuwa maalum kwaajili ya kutupia picha za marastafarian na mitindo mbalimbali ya dreadlocks
Uzi huu utakuwa maalum kwaajili ya kutupia picha za marastafarian na mitindo mbalimbali ya dreadlocks
Mla Bata JF-Expert Member Jan 24, 2013 6,764 13,815 Nov 15, 2017 #2 Mi sinaga hizo dread ila napendaga sana kuona watu wanafuga
Evelyn Salt JF-Expert Member Jan 5, 2012 63,607 112,659 Nov 16, 2017 #3 Wapi kuna saloon nzuri ya dreads mitaa ya ukonga, banana, airport
Behaviourist JF-Expert Member Apr 8, 2016 39,902 95,405 Nov 16, 2017 #4 NB:Huu uzi hauwahusu wanaume wa Dar!
KikulachoChako JF-Expert Member Jul 21, 2013 18,129 32,821 Nov 16, 2017 #5 Behaviourist said: NB:Huu uzi hauwahusu wanaume wa Dar! Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema vijana wenye dreadlock na Rastafarian ni wa Dar tu peke yao....!!!??
Behaviourist said: NB:Huu uzi hauwahusu wanaume wa Dar! Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema vijana wenye dreadlock na Rastafarian ni wa Dar tu peke yao....!!!??