Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,703
- 3,457
Jambo jemaUnataja location ulipo unakaribisha mtu yeyote aliyekaribu na sehemu ulipo. Kama ni piskali mnakula maisha safi.. Kama ni msela mnabadilishana mawazo mnapeana michongo maisha yanaenda.. Muda huu napiga kirimanjaro. Inyonga(mlele) J Lounge alie karibu aje tule vitu.