Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,756
- 9,083
Unataja location ulipo unakaribisha mtu yeyote aliyekaribu na sehemu ulipo. Kama ni piskali mnakula maisha safi.. Kama ni msela mnabadilishana mawazo mnapeana michongo maisha yanaenda.. Muda huu napiga kirimanjaro. Inyonga(mlele) J Lounge alie karibu aje tule vitu.