Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,071
- 831,695
Wanajamvi tumekuwa na nyuzi mbalimbali maalum, ambazo zimekuwa msaada mkubwa sana kwetu
Jamiiforums ni mtandao unaoheshimika sana, ni sehemu ya jamii(wapiga kura) ikiwa na mchanganyiko wa watu wa kaliba zote
Jamiiforums imekuwa chanzo muhimu cha habari kwa mitandao mingine na hata vyombo vya habari... Ni mtandao wenye mchango wa aina yake... Tunapaswa kuutumia vyema
Tumekuwa na mada zinazoibuka na kupotea zikiwa na lengo la kuishauri serikali kwenye mambo mbalimbali... Tuna wataalam wa kila aina humu na kuna wanajamvi walishawahi kuishauri serikali kupitia JF na ushauri wao ukafanyiwa kazi
Ndani ya Jamiiforums tuna watumishi wa serikali, wanasiasa na viongozi mbalimbali ambao haipiti siku bila kuperuzi JF ili kuona kuna kipi kipya ama jamii inasema nini kwenye jambo fulani
Kwa kuzingatia hayo yote ni muhimu sasa kuwa na huu UZI MAALUM wa kuishauri serikali yetu... Ushauri wako wowote hata kama hautafanyiwa kazi lakini utakuwa umetimiza jukumu lako kupitia maandishi kama Mtanzania mzalendo na mpiga kura, Kwahiyo usione uvivu wala kuvunjika moyo! Andika, maandishi hayafutiki na WANASOMA!
TIMIZA WAJIBU WAKO SASA....!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app